Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.
Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana...
Natamani niwashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa vyenye nguvu nchini ilikujenga Bunge lenye checks & balance.
Ili kutekeleza hilo lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya...
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.
Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa...
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.