Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana...
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna...
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu...
Karibu uwezeshwe na huduma ya SME Kutoka Airtel kwa Tshs 5000 na hii ni baada ya kazi.
Inabidi uwe na laini ya Airtel ambayo haijawahi kuwezeshwa na hii huduma lakini pia isiwe na huduma ya lipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.