Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa
Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Respis Brasius mkazi wa Unga Limited ameahirisha kujitoa uhai wake baada ya kuvutiwa na hotuba ya ndugu Jerry Slaa aliyoitoa Bungeni kuhusu utatuzi wa migogoro ya Ardhi...
Kwa sasa soni hamna iwe kwa watu wazima hata watoto wote tupo kundi moja, kituo cha redio sijui Televisheni kina ruhusu soga kama hii ikijua kabisa haya matangazo yanaruka live na yatafikia watu...
Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada
Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya...
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.