Salaam, Shalom!!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili...
Jitu umelitongoza kabla halijazaa likakukataa, saa hizi lina mtoto ndo linajifanya kujali, kuonesha mapenzi, na kuhoji upumbavu upumbavu, lenyewe lipite hivi. Wanaume tusikubali kuchezewa na hawa...
1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe (RIP)
3: JI -Kidato kimoja...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.