Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
6 Reactions
105 Replies
2K Views
Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post. swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M. Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
2 Reactions
26 Replies
501 Views
Wakuu, natumai hamjambo, Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe. Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
4 Reactions
18 Replies
168 Views
Ushawahi sikua watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
0 Reactions
6 Replies
22 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
12 Reactions
90 Replies
1K Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
0 Reactions
33 Replies
828 Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
9 Reactions
34 Replies
711 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,374
Posts
49,773,097
Back
Top Bottom