My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo:
1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa...
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu anesema hatavumilia kuona Wafanyabiashara ndogo ndogo wanalipa Kodi huku kukiwa na matajiri kibao walioshindwa Kesi kwenye Mahakama za Kodi lakini hawajalipa
Dkt...
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza
Lakini tunaambiwa kati ya...
Habari wana jamii forums [emoji1366]
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?
For...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine...
Ikiwa haujiwezi darasani utaambiwa huyu HANA AKILI lakini unashangaa mtu huyuhuyu anayeaminika kukosa akili darasani unakuta huko nje ya darasa ni msanii mzuri au ni mcheza mpira mzuri tena wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.