Ndinga Hilo
Gari ipo vizuri sana
Gari ya mwaka 2022.
PRICE/BEI: 122M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅
FORD RANGER STORM TRACK 🛻
Year:2022
Engine Capacity:2.0cc
Engine: DIESEL TURBO
Kilometer...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake..
2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...
3. Mkumbushe...
Nimelala during the daytime, baada ya breakfast leo, nimelala, nimeota ndoto.
Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks.
Halafu mini...
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine...
Uzi huu utaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na...
Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo...
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani
Kelele zilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.