Tuvumiliane sisi wengine hatuna watu wa kushare nao visanga tunavyopitia in real life so tukiwa na dukuduku, huzuni na hata furaha sehemu ya kwanza tunayoifikiria kuwasilisha yaliyo moyoni ni hapa...
DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU.
1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA
Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua...
Habari!
Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea.
Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani?
Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure.
Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi?
Au wamekosea nini hawa raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.