Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu, natumai hamjambo.,.. Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe.... Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
1 Reactions
8 Replies
9 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
15 Reactions
412 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile, tukiachilia mbali suala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia...
8 Reactions
70 Replies
13K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
10 Reactions
79 Replies
916 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
2 Reactions
6 Replies
60 Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
39 Reactions
51K Replies
2M Views
Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi...
7 Reactions
15 Replies
400 Views
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafir miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo pekeangu anaanza...
2 Reactions
3 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,285
Posts
49,770,494
Back
Top Bottom