Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
1 Reactions
107 Replies
1K Views
Sijajua katika hayo mambo manne Tanzania tunakwama wapi?!🐼 Watu tuko zaidi ya million 60 Ardhi ina kila kitu Mazao, Misitu, Madini, Mito, Maziwa, Wanyama, Bandari, nk...nk Siasa Safi tunao CCM...
0 Reactions
8 Replies
61 Views
Hello bosses and roses, it has been a while... Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
4 Reactions
84 Replies
1K Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
4 Reactions
13 Replies
327 Views
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
1 Reactions
16 Replies
241 Views
Siku chache baada ya RC Makonda kuelekeza TAKUKURU wamweke ndani Mtendaji Kata ya Bwawani na asipewe dhamana kwa tuhuma za kuchukua rushwa milioni moja; wananchi wa kati hiyo zaidi ya mia mbili...
16 Reactions
57 Replies
983 Views
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa. Zimepita siku...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya...
3 Reactions
46 Replies
647 Views
Naitwa A, niko mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini. Mimi nina miaka 34. Natafuta mke wa kuoa alie na miaka kuanzia 28 hadi 55. Awe yoyote mwenye moyo wa kujali, Asiwe mpenda pesa kwani mi ni...
2 Reactions
12 Replies
122 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,132
Posts
49,766,129
Back
Top Bottom