Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
1 Reactions
20 Replies
262 Views
Gym trainers sipo poa yani.
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
39 Reactions
128 Replies
3K Views
Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia. Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa...
3 Reactions
4 Replies
299 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
13 Reactions
280 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa clip: 1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika 2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar 3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua...
3 Reactions
17 Replies
184 Views
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo. This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
44 Reactions
152 Replies
5K Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
17 Reactions
73 Replies
1K Views
Karibu kufatilia muendelezo wa wiki ya pili ya Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) jijini Arusha. Kwa ambao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sina kazi nashinda na simu muda wote Nipo nipo tu sina muelekeo wowote Nimemaliza Chuo mwaka Jana Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
7 Reactions
22 Replies
251 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,142
Posts
49,766,280
Back
Top Bottom