Mradi wa Reli wa Baltica wenye thamani ya dola bilioni 4 unalenga kuunganisha miji mikuu ya Estonia, Latvia, Lithuania na Warsaw, Poland na ni hatua ya kamili na ya kiishara ya kuzileta nchi hizo...
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua.
Soma:
- KERO - Serikali...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Karibu kufatilia muendelezo wa wiki ya pili ya Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) jijini Arusha.
Kwa ambao...
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela?
Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
Huko bondeni kwa Madiba hali ya chama kilicholeta uhuru ANC ni mbaya sana tangu kuanzishwa kwake. Kwa mazingira haya hakiwezi kuunda serikali kwa sababu kimekosa 50% ya kura zote zilizopigwa...
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.