Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
17 Replies
274 Views
https://defence-blog.com/china-uses-electronic-warfare-vehicles-during-entrance-exam/
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
4 Reactions
184 Replies
2K Views
Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
4 Reactions
103 Replies
2K Views
Je, akifa kamanda naye hupewa yale majini mabikira 72 au atazidishiwa? ============ BEIRUT, June 12 (Reuters) - An Israeli strike on the village of Jouya in southern Lebanon late Tuesday killed...
5 Reactions
13 Replies
497 Views
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !! Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
1 Reactions
34 Replies
983 Views
Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania...
6 Reactions
24 Replies
328 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,777
Posts
49,865,968
Back
Top Bottom