Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
Najua ni ngumu/haiwezekani kubadili taratibu au mambo fulani za kiimani japo unaweza kukuta yanakukera.
Maana kuna mambo mengi tumeyakuta yakifanywa na watangulizi wetu na sisi tumekuzwa ktk hayo...
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.
Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
Wakuu si vibaya kupeana mikakati ya kukabiliana na janjajanja za hawa wenzetu wenye mawazo kutudidimiza kwa faida zao.
Maana na wao kila uchao wana mbinu mpya.
Mimi kwakweli nimeanza kuwaogopa...
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘
"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu...
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro.
Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV
Up dates;
Rais Magufuli...
Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k
Wajuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.