Utangulizi.
Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Usiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani...
Balozi Hassan Iddi Mwamweta wa Tanzania amewasilisha Hati ya utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro
Sherehe za utambulisho zilihudhuriwa na makardinali wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.