Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera...
2 Reactions
23 Replies
231 Views
Rais wa Senegal, Bassirou Faye amesema faida itakayotokana na mauzo ya mafuta na gesi "itasimamiwa vyema" wakati taifa hilo la Afrika Magharibi likianza kuzalisha mafuta kwa mara ya kwanza...
4 Reactions
9 Replies
221 Views
hii aibu na uchafu wa kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, ambalo pia ni kosa kisheria, inachochewa na nini hasa ndrugo zango? ni nini inasababisha kushamiri kwa hali hii? mbona sielwi...
3 Reactions
24 Replies
319 Views
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
1 Reactions
32 Replies
955 Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
13 Replies
233 Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
16 Reactions
89 Replies
3K Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
184 Reactions
1K Replies
198K Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
18 Reactions
211 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,776
Posts
49,865,938
Back
Top Bottom