Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa? Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
3 Reactions
11 Replies
123 Views
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii. Majasiri wengi...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
181 Reactions
1K Replies
197K Views
Niwakaribishe wale wenye kuweza kusoma hukumu na kuelezea inasemaje Kwa mnaonijua, mimi nitakuwa na kitu changu cha Jammaika nikifuatilia michango yenu. Karibuni sana. Mnapotuona msituchukulie...
3 Reactions
29 Replies
286 Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
24 Reactions
152 Replies
4K Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
4 Reactions
257 Replies
3K Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
7 Reactions
70 Replies
1K Views
Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
1 Reactions
16 Replies
179 Views
Wasalaam. Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho. Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
4 Reactions
32 Replies
315 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,750
Posts
49,865,378
Back
Top Bottom