Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
5 Reactions
37 Replies
559 Views
Wakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa...
1 Reactions
5 Replies
76 Views
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili...
17 Reactions
114 Replies
7K Views
UISLAMU UMEINGILIWA NA SERIKALI MASHEIKH WAJA JUU TANZANIA. https://www.youtube.com/watch?v=h4slOZAmDo4&ab_channel=SHALBAOnlineTV
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari...
4 Reactions
16 Replies
581 Views
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko...
5 Reactions
31 Replies
625 Views
Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo...
1 Reactions
21 Replies
405 Views
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
0 Reactions
7 Replies
215 Views
Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
2 Reactions
10 Replies
138 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,093
Posts
49,764,723
Back
Top Bottom