Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na...
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.. Ila...
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la...
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Habari wanahitajika Madreva 5 Kwa ajili ya Mkataba wa mradi wa ujenzi
Madereva wanaohtajika ni walw wenye Class C
Madreva wenye Class E&G
Kwa mawasiliano piga 0769488409 au tuma taarfa zako kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.