Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
Iphone 13 pro .
Used Uk.
In very good condition
Gb 128
Bh 84.
TT✅
1.5ml only.
Comes with a box.
Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only.
0752850081
0783869998
Nipo DSM Ubungo.
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.. Ila...
Siku za karibuni,tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili kupunguza...
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.