Wewe je?
Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza?
Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1]
vs
Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2]
Soma zaidi:
1. Iran yatangaza siku 5...
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy...
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi .
Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho.
Anasema Zitto...
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.