Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi
Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
MBUNGE NORAH WAZIRI MZERU KATIKA BARAZA LA UWT (CCM) WILAYA YA KILOMBERO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika Baraza la UWT (CCM) Wilaya ya Kilombero...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.