Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii.
Majasiri wengi...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles.
Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
Niwakaribishe wale wenye kuweza kusoma hukumu na kuelezea inasemaje
Kwa mnaonijua, mimi nitakuwa na kitu changu cha Jammaika nikifuatilia michango yenu. Karibuni sana.
Mnapotuona msituchukulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.