Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hermes 900 kwa mujibu wa Israel ni drond ghali na ya kisasa haswa na yenye teknolojia ya hali ya juu Lakini kwa sasa Zinaangushwa kama maembe kwa manati na hezbollah hii ni drone ya 5 ya aina ya...
3 Reactions
8 Replies
200 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa bodi ya Simba, Murataza Mangungu amejiuzulu nafasi hiyo na amewashukuru wajumbe wote wa bodi. Murtaza amesema amemuomba Mohammed Dewji awe mwenyekiti japokuwa hajajua kama...
0 Reactions
12 Replies
162 Views
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
2 Reactions
13 Replies
102 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi Innocent Siriwa akimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Doyo Hassani Doyo, leo Juni 11, 2024 katika Makao Makuu ya Chama cha Alliance for Democratic Change...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa...
2 Reactions
11 Replies
104 Views
Hii taarifa imezuwa mjadala mkubwa kwa lemgo la kujaribu kupata ukweli wa suala hili. Kwa upande mmoja ni wale wanaoamini kuwa Dr. Nawanda ametenda jambo hilo na upande wa pili wapo wale...
2 Reactions
5 Replies
163 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
12 Reactions
41 Replies
619 Views
Huyu Sheikh siku zote makalio ya wanawake ndo ajenda yake. Ameyabatiza majina mengi ya ajabu na mengine yakidhalilisha utu wa mwanamke. Lakini eti Leo ndo anatumika na UVCCM Kwa agenda kificho...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,304
Posts
49,853,733
Back
Top Bottom