Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026
Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
00...
Heshima sana wanajamvi,
KIA ni mojawapo wa viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na Serekali lakini hapo hapo uwanja huu umekuwa na sarakasi nyingi kupitiliza.
Mwanzoni KIA ilikuwa ikiendeshwa na...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana...
1 Pet 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Salamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo...
Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
Akiongea wakati wa kupokea Magawio ya Serikali,Rais wa JMT DkT.Samia amesema Hajawahi Sikia Wala kuona Waziri wa Fedha Dk.Lameck Mwigulu Madelu akisifiwa.👇👇
My Take
Kuna Baadhi ya kazi huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.