Nikiwa naangalia taarifa ya habari, nimesikia waziri akisema wanataka kuanzisha madarasa janja akimaanisha "smart classes"
Nawaheshimu sana watu hawa wanaoitwa Prof. kwani wengi wao wamepita njia...
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
SKY ROYAL
Commercial and residential units for sale.
Experience a luxury SEAVIEW city living in our stylish and modern project Located at MIKOCHENI. Our prime location offers easy access to...
Yule "Bwana" aliyetamba Jamiiforums miaka ya 2018 amekuja kivingine katika mtandao wa "Twirraaah".
Baada ya Kamati ya Roho mbaya ya Jamiiforums kumnyuka makombora na kumsimanga, akaamua atimkie...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Wakuu heshima yenu,
Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.
Kilichonileta...
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records.
Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya...
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu
Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda...
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
Zipo fununu kwamba kuna mpango wa kujenga barabara ya kibaguzi ya mabasi ya mwendokasi kutoka mjini kuelekea Mbagala , yanayotokea kwenye ruti ya Mbezi -Kimara - Kariakoo, ya wajawazito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.