Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza...
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe.
Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni...
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.