Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni.
Ni upi ushauri wako ungeliwapa...
Jana siyo yako kwa sababu imepita na haiwezi kurudi, lakini pia kesho siyo yako kwa sababu haipo na hauna uhakika nayo.
Yako ni leo tu. Itumie utakavyo. Mambo makubwa yote hutengenezwa leo...
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa.Gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa
Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion...
Wakuu kwema! Kwani sheria inasemaje mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Mimi najua ni kosa la jinai
Mbona mama anasema “fanyianeni wakubwa kwa wakubwa”
Lucas Embu muite Kafulila na...
Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.