Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa bussy je, ikiwa watumishi watajaza kila...
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume...
4 Reactions
15 Replies
239 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
2 Reactions
110 Replies
1K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
230 Reactions
402K Replies
33M Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
40 Reactions
273 Replies
5K Views
Habari zenu. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto. Ukipita kwa mitaa,tiktok,fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada...
0 Reactions
14 Replies
301 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo. Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Tanzania imejaa watu wanafiki, waongo na walaghai. Bahati mbaya sana watu wa namna hiyo wamejaa mpaka ngazi za juu za Serikali na CCM. Ukiwa mitaani, ukiwasikiliza viongozi wa Serikali, CCM na...
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
4 Reactions
31 Replies
502 Views
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
5 Reactions
47 Replies
356 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,454
Posts
49,858,103
Back
Top Bottom