Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa hizi kauli kwamba Mtandao wa Twitter X ifungiwe, nikudhihirisha ccm hawana uwezo wa hoja tena. Ndio sababu kukimbilia kufunga Majukwaa ya ukosoaji. Kwanamna ccm ilivyo, sio chama cha siasa...
0 Reactions
3 Replies
29 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
10 Reactions
27 Replies
224 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
24 Reactions
105 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana...
4 Reactions
36 Replies
363 Views
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo...
3 Reactions
32 Replies
308 Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
11 Reactions
119 Replies
4K Views
Habari wadau Hivi mtoto akipenda kuchezea na kukalia ungo ni ishara gani? Serious answer please
2 Reactions
27 Replies
246 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,539
Posts
49,859,985
Back
Top Bottom