Aliyekuwa mbunge na mwanaharakati wa demokrasia Nathan Law ni miongoni mwa watu sita ambao pasipoti zao za Hong Kong zimefutwa na serikali.
Serikali ya Hong Kong leo Jumatano, Juni 12, 2024...
Rais wa Msumbiji atafika kijijini Butiama leo.
Ataongozana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Emmanuel Nchimbi.
Mheshimiwa rais ataongea na wanakijiji,katika mkutano wa hadhara.
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria.
Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
Serikali ni watu na katika watu kuna kundi kubwa la vijana ambalo lina nafasi ya kuipa serikali changamoto nchi ikasonga au ikadorola.
Sasa kwa vijana wenye hawa wa kula tunda kimasihara taifa...
Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja
Source: Mwanahalisi Digital
Aidha Uvccm nao...
Rais Joe Biden amesema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya mwanawe kupatikana hatia katika Makosa Matatu ya uhalifu wa bunduki ambaye anakabiliwa na kifungo cha hadi Miaka 25 jela...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.