Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye Oa chap masta
1 Reactions
49 Replies
213 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake . Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa...
7 Reactions
15 Replies
180 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
10 Reactions
104 Replies
2K Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
3 Reactions
47 Replies
482 Views
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto...
0 Reactions
26 Replies
704 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
12 Reactions
115 Replies
1K Views
Wapendwa natafuta rafik wa kubadirishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mm ni mwanamke wa miaka 33 ninae jielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
3 Reactions
5 Replies
7 Views
Pengine tunayaona haya kwenye matv ama makazin na pengine mitaani tunamoishi. Hebu tuambiane ukweli ni athari zipi zinazopatikana kwa dada zetu kuvaa nguo nusu uchi?
1 Reactions
9 Replies
32 Views
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
2 Reactions
41 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,387
Posts
49,856,293
Back
Top Bottom