Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
9 Reactions
462 Replies
18K Views
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga...
0 Reactions
5 Replies
453 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo. Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na...
16 Reactions
47 Replies
1K Views
kwa Tanzania Bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu. wasting his potential at yanga. huyu hata Manchester United anapita.
0 Reactions
4 Replies
103 Views
Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
124 Replies
11K Views
Mkutano wa Chadema wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro Naye John Pambalu ameitaka...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
12 Reactions
190 Replies
15K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views

FORUM STATS

Threads
1,862,426
Posts
49,857,452
Back
Top Bottom