Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?.
na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali...
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu.
Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
Viongozi wa dini waiomba serikali kuufungia mtandao wa kijamii wa Twitter ( X ) nchini kwani mtandao huo umeonekana ukivunja maadili na taratibu za nchi kwa kuhamasisha ushoga na usagaji...
Zaidi ya miaka sitini pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanyika bado uchumi wetu niwakujikongoja huku bado tukipambana na maadui wale wale aliowataja mwalimu Nyerere, Umaskini, ujinga na maradhi...
Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.
Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.