Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
11 Reactions
187 Replies
15K Views
Muvi hii ni ya kiswahili niliiangalia muda mrefu sio bongo muvi ni zile muvi nadhani zinafadhiliwa na wahisani.nakumbuka sehemu chache sana kwenye hiyo muvi.kuna watoto wawili wa kike na wa kiume...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
1 Reactions
7 Replies
70 Views
Habari wana jamvi, Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki. Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii...
10 Reactions
95 Replies
43K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
3 Reactions
32 Replies
960 Views
Mim kiukwel sjawai kuwa single...yan toka nmejielewa..infwact...mim nilichelewa kdogo kuanza mapenz/kugonga..mim nilianza hayo mambo likizo ya kumaliza six. Enewei ni hiv.kipind nmeanza .sikuwai...
16 Reactions
124 Replies
10K Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
19 Reactions
94 Replies
2K Views
yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
1 Reactions
21 Replies
336 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,418
Posts
49,857,327
Back
Top Bottom