Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
5 Reactions
43 Replies
641 Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
10 Reactions
166 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
28 Replies
395 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana...
1 Reactions
7 Replies
105 Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
346 Replies
10K Views
[emoji599]IBRAHIM BACCA AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZANZIBAR MBELE YA FEISAL SALUM (AZAM) NA MUDATHIR YAHYA (YANGA). Una swali lolote umejiuliza?
4 Reactions
29 Replies
684 Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake pia...
1 Reactions
2 Replies
24 Views
Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kuna watu umewaruhusu wawe sehemu ya maisha yako kukupotezea muda tu. Haya ni mabomu! Yamelipua uchumi wako, mapenzi yako, siasa zako, kazi yako, dini yako. Huna hamu ya kuishi! Kuna watu unasema...
1 Reactions
1 Replies
28 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,227
Posts
49,852,092
Back
Top Bottom