Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Shalom wana jf
Iko hivi ..kuna huyu dada ni mzuri sana...nko naye kwenye mahusiano
Kwa muda sasa!!!
Ni boss flani hivi ..ana kampuni zake kama mbili kubwa
In short ..ana mawe!!!
Tatizo n...
Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia [emoji1212].
Na Hizi hapa ni Takwimu zake
[emoji843]MECHI 38
[emoji843]MABAO 30...
Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi.
1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho.
2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
======
“TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina...
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
IOS 18 is out now
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lkn amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpk dhamira yake na lengo lake la litakapotimia...
Ushawai kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa.Na rafiki yangu ni mganga ambaye upata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.