Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa...
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki...
Wakati JPM akizindua rada mpya alisema Tanzania sasa inaweza kuliona anga la maziwa makuu na kusini mwa Afrika kwa usahihi zaidi kuliko nchi zote Ukanda tajwa.
Kwa maana nyingine Tanzania ni kama...
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
Wakuu kwema,
kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi.
Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.