Habari wapendwa.
Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife.
Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
Wakuu
Nimeskia sana telesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya yanga na mazembe
Means musonda kwenda Congo na baleke aje yanga ..
Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Wakuu kwema?
Hivi Tamaduni Music ilianza mwaka gani na mwaka gani ikawa imekufa (japo sina hakika ndio maana nauliza)?
Kama ilikufa nini chanzo cha Tamaduni kufa?
Muanzilishi alikuwa nani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.