Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naunga mkono hoja ya RC Chalamila,endelea kuwapiga spana. Haiwezekani mtu mzima una miaka kuanzia 30 na kuendelea uwe unamlaumu Samia Kwa umaskini wako,Hilo halipo na hii tabia ndio inafanya watu...
0 Reactions
3 Replies
15 Views
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa...
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
9 Reactions
150 Replies
975 Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
0 Reactions
3 Replies
33 Views
Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi...
2 Reactions
11 Replies
263 Views
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
10 Replies
331 Views
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato...
2 Reactions
5 Replies
80 Views
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
0 Reactions
10 Replies
128 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,191
Posts
49,851,560
Back
Top Bottom