Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
6 Reactions
29 Replies
305 Views
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya...
3 Reactions
34 Replies
625 Views
Wasalaam Jf team. Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe kuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu, Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo zaidi 264...
2 Reactions
7 Replies
28 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
122K Replies
7M Views
MWANAUME CHUKUA TAHADHARI UNAPOTAKA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MABINTI WA SASA Na Comrade Ally Maftah Kumezuka tabia za wakina dada kufanya utapeli katika mfumo wa kimahusiano, kuna mabint na...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
  • Suggestion
Asante sana JAMII FORUMS kwa kutuletea STORY OF CHANGE. Bila shaka viongozi wamekuwa wakisikia changamoto ya maji karibia TANZANIA nzima, ama kwa hakika TANZANIA TUITAKAYO ni ile ya viongozi...
1 Reactions
1 Replies
17 Views
Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na...
4 Reactions
27 Replies
364 Views
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Tunamtakia Kila la heri Rais Samia kwenye ziara hiyo ya mdau Wetu muhimu wa Maendeleo Korea Kusini. Ikiwezeoana Awapatanishe Kim wa North Korea na South Korea. Mwanadiplomasia namba 1 na...
1 Reactions
37 Replies
293 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana...
5 Reactions
28 Replies
533 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,256
Posts
49,741,308
Back
Top Bottom