Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo...
8 Reactions
19 Replies
150 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
55 Reactions
207 Replies
4K Views
Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
1 Reactions
5 Replies
77 Views
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
7 Reactions
36 Replies
941 Views
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
15 Reactions
99 Replies
1K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
6 Reactions
215 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Lengo la mtoto wa kiume kujilemba kama mdada ni nini sasa ni kulazimisha u-handsome au ni nini au ndio dalili za upinde
1 Reactions
6 Replies
78 Views
Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
gamondi history kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality. anataka vitu vyake viende atakavyo. in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. in...
2 Reactions
12 Replies
247 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,133
Posts
49,850,352
Back
Top Bottom