Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
Kiwanja kipo Kimara Temboni
Barabara ya kwenda Matosa
Ukubwa ni square meter 1,200
Bei ni sh. 100,000,000/= (Milioni mia moja) Maongezi yapo kwa mteja serious
Kipo jirani na Kanisa katoliki...
Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.