Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
3 Reactions
50 Replies
675 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend https://www.youtube.com/watch?v=ivdazTpwhUo
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
155 Replies
2K Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
8 Reactions
258 Replies
3K Views
Mnao kwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji chicago nikiwa maeneo ya northbrook. Kutokana na umiliki silaha kuwa...
1 Reactions
28 Replies
306 Views
(MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa...
2 Reactions
19 Replies
510 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-1 Reactions
28 Replies
180 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,826
Posts
49,842,849
Back
Top Bottom