Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ebana wanajamvi inakuwaje Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
10 Reactions
115 Replies
3K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
8 Reactions
43 Replies
338 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
13 Reactions
416 Replies
8K Views
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
40 Reactions
115 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Naitwa [Jina Lako], mtaalamu wa ufugaji samaki, na nimekuja kwenu na wazo la biashara ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya ufugaji samaki. Ninapendekeza...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel. Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
5 Reactions
59 Replies
888 Views
Kwakweli nimechanganyikiwa, wanajamvini nisaidieni Mimi masikini, nafanya ujenzi lakini nahitaji vitu Bora na vya kipekee lakini uwezo wangu mdogo. Sasa kama ilivyo sisi watanzania na dunia nzima...
0 Reactions
8 Replies
186 Views
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
25 Reactions
990 Replies
35K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,936
Posts
49,845,904
Back
Top Bottom