Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa.
Tayari...
Mambo vipi wazee?
Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba.
Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye...
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe
Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Unapokuwa na Mfumo wa wapiga kura wachache basi jitahidi kuruhusu Wagombea Wengi
Mfano Kura za maoni CCM zinaruhusu Wagombea Wengi kiasi kwamba mpiga kura hajui achukue Rushwa ya nani akatae ya...
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.