Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo...
0 Reactions
5 Replies
172 Views
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
14 Reactions
92 Replies
3K Views
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni...
36 Reactions
268 Replies
46K Views
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje...
4 Reactions
28 Replies
458 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
15 Reactions
456 Replies
9K Views
Habari madaktari wetu! Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes) Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki, au akikazana na...
5 Reactions
11 Replies
119 Views
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka? Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
3 Reactions
21 Replies
160 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
195 Replies
2K Views
Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
1 Reactions
28 Replies
383 Views
Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa...
22 Reactions
116 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,982
Posts
49,846,782
Back
Top Bottom