Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
7 Reactions
18 Replies
333 Views
Muhimu: usiweke porn Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k. Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K. A sports HD - 2,000...
5 Reactions
48 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
9 Reactions
245 Replies
3K Views
Ndugu zangu mimi bila kuoa mwanamke bikra naona kabisa nitakua nimejipunja sana, haijalishi atakuja kuchezewa mbeleni ila atleast awe bikra halali mwanzoni mwa ndoa yetu. Sasa ndugu zangu ;-...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
7 Reactions
141 Replies
9K Views
Kumbe Wapambe aka CHAWA ndio wamewatisha wabunge kwamba 2025 Uchaguzi utakuwa mgumu sana kwahiyo maandalizi ya Kampeni yaanze sasa Wabunge wamejawa hofu na sasa wanamwaga tu Posho zao za mjengoni...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
4 Reactions
85 Replies
1K Views
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Wakuu habari za mchana. Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
1 Reactions
15 Replies
321 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,767
Posts
49,840,850
Back
Top Bottom