Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Mathalani mmekubaliana na mtuma hicho kitu, kwamba anakutimia muda huo, halafu, ukiwa katika hali ya shauku, bashasha na hamu kubwa sana ya kupokea, kutazama na kuona ulichotumiwa, na halafu anae...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
7 Reactions
55 Replies
841 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
30 Reactions
87 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
22 Reactions
77 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wasabato wanao uelewa mdogo kidogo ukilinganisha na wakatoliki kuhusu asili ya mwanadamu ya kuwa na hali ya kutokufa. Mwanadamu anapokufa: “sehemu zake” za mwili na nafsi...
1 Reactions
5 Replies
76 Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na kakibanda...
6 Reactions
21 Replies
546 Views
Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia...
2 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,889
Posts
49,844,837
Back
Top Bottom