Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wapendwa. Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife. Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
4 Reactions
28 Replies
230 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
422 Replies
39K Views
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
2 Reactions
43 Replies
166 Views
ukimsikiliza tundu lisu utaona kwamba ni vugu vugu, haonyeshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Hii picha ni sherehe ya kutembea uchi huko ulaya!! Lakini Nani hapo wanaonekana kusherehekea Black hapo wako more notable! Huwezi kuwaona wachina,Waarabu au wahindi wanashadadia ujinga huu SHIDA...
0 Reactions
8 Replies
24 Views
Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Rais Samia kwa jina lake na pesa...
4 Reactions
26 Replies
355 Views
Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11) baada ya kushukiwa kwa sababu walionekana kusherehekea wakati wa shambulio la kigaidi dhidi ya Marekani. Tukio hili lilizua maswali...
1 Reactions
1 Replies
7 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
14 Reactions
45 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,845
Posts
49,843,446
Back
Top Bottom